DALILI ZA MTU MTU MWENYE MAPENZI FAKE AU MPENZI ZAIDI YA MMOJA FACEBOOK.

14:16:00 Unknown 0 Comments


1.Anachelewa kureply,unaona message imesomwa(seen) ila anadai hajaigia facebook.

2.We kila siku ndo wakumbembeleza,ye wala haumii ukimchunia

3.Mnakuta nye ni wapenzi,na kukuandikia inbox hawezi kisa we hujajibu yake ya mwisho,atakuwa online hata wiki anaupdate na hakuulizi kisa hujajireply inbox yake.

4.Kitu kidogo ayaaaaaaaa anakimbilia kuachana na kusingizia huna future naye na je mtawezaje kudumu maisha ya baadaye.

5.Kuna siku akiamka hakuambii,sweety,hun,bby,mme/mke wangu kama kawaida yake,kumbe ule upendo ashauhamishia kwa mwingine na amejaziwa maneno ya ngono.


6.Status zake za kimafumbo,unachat naye lovely ila status yake analalamika kuachwa,(kivipi kama we hujamwacha?)


7.Anajifanya hampendi mpenzi wake wa zamani na kumponda kwako,ila ukiona anarudia kumtaja ujue bado ana uhusiano naye.


8.Huwa ukiangalia picha zake watu wanamwita bby ila yeye hawezi kureply ili asifumaniwe,akireply atasema "thanks all"nye wapenzi wake mtapeana za uso huko ye hana habari atasema anashobokewa


9.Simu yake visingizio kila siku,ooh hakuna chaji wakati iliita ukaona call cancelled


10.Anapenda zaidi kutumia account fake na inawezekana si jina lake halisi na hata picha yake haweki.


12.Hata kupiga sim au sms hatumi,mwanzoni alikuwa anakushobokea mpaka anapromise uzima wa milele


13.Anakukumbuka tu siku nanihii zake zimepanda mpaka unashtuka imekwaje leo amenikumbuka.


14.Kila saa anazungumzia ngono,atakumbuka wapi wakati hana hata future.


15.Kila siku anajifanya ye amewahi kukutana na kuwa na malengo na masuperstar(anajifanya wa viwango).


16.Huwa hareply anaLIKE tu comment kumbe anaogopa kuwagombanisha wazinzi wenzake(ila wengine kweli hata hawajui kinachoendelea,wakiambiwa wanapendwa wanapiga tu makofi)


17.Anakublock tu hujui hata sababu baadaye anasingizia amepanic kwa ajili ameona comment flani na anawivu kisa anakupenda (mbona hujafa sasa?)


18.Kuna walio nchi za ng'ambo,mashauzi kibao eti hajazoea mambo ya bongo,labda anaumia sana kwa vile amesahau bongo,kuna wengi wanazaidi ya miaka na miaka yeye wa mwaka kasahau bongo,(ng'ambo yenyewe kaenda kwa msaada wa kijiji baada ya kulia lia sana)

INATOSHA!

You Might Also Like

0 comments: