Habari ya bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidi: Dini mpya inayoruhusu ulevi, uchawi na uzinzi imeanzishwa eneo la mji mdogo wa Makongolosi wilayani Chunya mkoani Mbeya.

23:23:00 Unknown 0 Comments

Dini inayoamini katika MUNGU lakini ikiruhusu yale ambayo dini nyingine zinapinga imeanzishwa eneo la mji mdogo wa Makongolosi wilayani Chunya mkoani Mbeya.

Dini hiyo haiamini katika kutoa sadaka bali inasema tunamtolea nani sadaka wakati Vitu vyote tulivyonavyo ni mali ya MUNGU?

Dini hiyo inaruhusu ulevi, uchawi na uzinzi kwa sababu vimeumbwa na MUNGU. Vile vile inaamini hakuna dhambi duniani, Dini hiyo inaitwa DIMAYO (Dini ya Maarifa Yote)!

Habari kamili soma Hapa

You Might Also Like

0 comments: