kwa kweli daktari hapo itakuwa ngumu

19:51:00 Unknown 0 Comments

Kuna bwana mmoja alikwenda kwa daktari
akisumbuliwa na ugonjwa wa ngozi,baada ya
maongezi ya muda mrefu kidogo,daktari
akashauri
Daktari,"Itabidi uwe na tabia ya kula matunda na
maganda yake,itakusaidia sana kuondoa tatizo
lako."
Mgonjwa," Mmmmmmmhhh"
Daktari," Mbona unaguna"
Mgonjwa,"Hiyo itakuwa ngumu"
Daktari,"Kwani wewe unapendelea tunda gani"
Mgonjwa,"DAFU"

You Might Also Like

0 comments: