MAPENZI YA FACEBOOK

02:03:00 Unknown 0 Comments



DAY 1-Mamboo

DAY 2-Mambo Dear.

DAY 3-Umeamkaje Baby

DAY 4-Babe kuna kitu ntakuomba

DAY 5-Baby can you help me with 200,000,nna shida ntakurudishia kabla ya Ijumaa.Mwanafunzi huyo,na hamjawahi kuonana...Laki 2,airudishe ndani ya mwezi,hata UPATU haizai fasta hivi..Ukijitusu umeumia.Unauchuna

DAY 6-Babe ulipata meseji yangu?Unapiga kimya

DAY 7 Nishagundua we Mwanaume suruali,hata laki 2 huna...We unayo??Ulidhani Mi Mwanaume Sketi?? Mnaonana humu, Mnapendana humu,Mnaachana humuhumu,tena kwa Kashfa.. Yeu bora urudi tu,maana watoto wetu hawana wa kuwalea, wanaume na wanawake wote akili kushney

You Might Also Like

0 comments: