Sio kila akupigiae makofi anakusifu

20:28:00 Unknown 0 Comments



Mtoto wa mbu aliruka na kufanya safari yake kwa mara ya kwanza.
Aliporejea nyumban baba yake akamuuliza, vipi matembezi yako umeyaonaje?

Mtoto wa mbu akajibu, ilikuwa safi sana baba kila nlikopita watu walinipigia makofi!

Babake akasema, walikuwa hawakupigii makofi ila walikuwa wanataka kukuua!! 

Funzo

1. Sio kila akupigiae makofi anakusifu.
2. Sio kila anaye cheka nawe anakuombea mema Wengi hawapend kukuona unaishi na zaidi ukifanikiwa.

Kumbuka ku-like ukurasa wangu wa fesibuku kwa kubofya HAPA

You Might Also Like

0 comments: