Tangaza biashara yako na Fuledi bila kutoa malipo yoyote yale

16:55:00 Unknown 0 Comments

Mambo vipi rafiki,

Nina wazo moja, nafahamu hapa tuna marafiki wengi wanaotutembelea kwa siku.
Ni jambo jema sana, lakini je hatuwezi kuamua kutumia nafasi hii kama mtu una kitu chochote ungependa kuuza au kuuliza ukatumia nafasi hii?

Mie nafikiri ni wazo jema.

Hivyo basi ukiwa na bidhaa au kitu chochote na unatamani watu wafahamu usisite wewe nicheki kwa simu namba 0684868191 au barua pepe tabasamunafuledi@gmail.com

Amini usiamini unaweza jikuta unatabasamu pia kwa kupata hitaji lako bila misuko suko

You Might Also Like

0 comments: