Majina ya pombe zetu za asili:
Dengelua – Hii inapatikana kule
upareni
Mbege – Hii ina[patikana kule Moshi uchagani
Ulanzi – Kule Iringa
Ulaka – Nasikia inapatikana Morogoro
Boha – sina uhakiaka inapatikana
wapi
Kindi – Hii nayo naomba msaada sijui asili yake ni wapi
Wanzuki – Hii ni new technology
nasikia ina gesi kushinda hata Bia
Chimpumu – Hii nayo nasikia
inapatikana mikoa ya kusini
Tende – Hii inapatikana wisiwa vya
karafuu Zanziberi
Gongo – Hii ina majina mengi ajabu,
Kachaso, la 50, common,
zilipendwa,chi-dawa ,uso-paka,
machozi ya Simba, Uzo, Chang’aa, na
haijulikani asili yake ni wapi
Daddy - hii ni maarufu sana huko
arusha
Nyingine mtajazia……………………..
0 comments: