Msome leo BURE Samira wa Simulizi ya Lango la Motoni
Dunia imejaa visa na mikasa ambayo kila mtu hukutana nayo kwa nafasi yake. Lakini wakati wewe unafikiri ya kuwa umeumia au kuumizwa zaidi wapo ambao wao wanapitia makubwa zaidi yako.
Kuna watu wao baada ya kupitia mapito haya hukata tamaa ila kuna ambao wao hupigana mpaka tone la mwisho kuhakikisha wanakabiliana na changamoto hizo.
Kuna wale ambao hudhania umaskini ndio sababu kubwa ya kuwafanya wawe makatili hasa wakiangalia wapi walikopitia, lakini pia kuna wale ambao kutokana na mali na utajiri wao huamua kutumia fedha hizo kulipa visasi au hata kuhatarisha maisha ya wenzao.
Kutana na SAMIRA katika simulizi hii na ujifunze mengi.
Tafadhali bofya HAPA
Au wasiliana nami kupitia whatsapp 0713317171 ili usome BURE
karibuni sana
ReplyDelete