Ayaaa usinambie imeshaandikwa kwenye magazeti ya udaku?
Nyani alikuwa anapita karibu na kisima cha maji akamkuta simba kainama anakunywa maji. Nyani kwa uhuni wake akamnyatia simba akambaka, alipomaliza akamsukumia kisimani akakimbia, alijua simba akitoka huko kuna kimbembe kitatokea, katika kimbia yake akamkuta mzee mmoja kavaa kofia kakaa kwenye kigoda anasoma gazeti maarufu la udaku. Akamtisha mzee wa watu, mzee akakimbia akadondosha gazeti na kofia, nyani akaivaa kofia akakaa kwenye kigoda nae akaanza kujifanya anasoma gazeti. Simba akatokea kachukia kweli, akamuona mtu kavaa kofia anasoma gazeti la udaku;Simba: Oyaa umemuona nyani mmoja kapita hapa?
Nyani: Yupi? Huyo aliyembaka simba kisimani?
Simba: Ayaaa usinambie imeshaandikwa kwenye magazeti ya udaku?
0 comments: