kwa nini tunaendelea kuishi na watu wanaotunyanyasa ,kutuudhi au kutufikiria kinyume?
Kuna siku rafiki yangu aliniiuliza kwa nini twaendelea kuishi na watu wanaotunyanyasa ,kutuudhi au kutufikiria kinyume?Kwa upande wangu, Jibu lake ni rahisi sana..
Tunaendelea kuishi nao kwa sababu wanaona kama wao hawahitaji kuishi kwa kujaliwa (UPENDO), na kipindi mmoja wao anapokuja kugundua kuwa anahitaji kuishi kwa kujaliwa....basi hubadilika na kuwa watu wema na wenye maana katika jamii, kwani kuishi bila kujaliwa au kupenda hudumu kwa muda mchache na kila mtu anahitaji upendo..
Kumbuka unahitajika kuishi kwa kupendwa ... Anza sasa kuwapenda wenzako na usilisahau hilo kamwe.
Usiku mwema
0 comments: