Sasa umesema huyo mjane mzee anakaa wapi?

22:31:00 Unknown 0 Comments

Jamaa : Mjomba nina jambo linanizingua.
Mjomba : Nini tena nambie
Jamaa : Nataka kuoa sasa nina wapenzi wawili,
wa kwanza ambaye ndiye moyo wangu
unampenda ni msichana mzuri lakini masikini,
wa pili ni bibi moja mjane mzee lakini tajiri,
nifanye nini mjomba?
Mjomba : Fwata moyo wako mjomba wangu,
muoe unaempenda mjomba wangu.
Jamaa : Yaani mjomba asante kwa mawazo
mazuri , hata mimi nilikuwa nafikiria
hivyohivyo,
Mjomba : Sasa umesema huyo mjane mzee
anakaa wapi?

You Might Also Like

0 comments: