Wizi mpya kwa njia ya mtandao.....Kuweni macho
Ndugu zangu kuweni macho na baadhi ya watu ambao watumia njia mbalimbali ili kupata pasiwedi yako na kuanza kutumia akaunti yakokushea taarifa za za mikopo ya bei nafuu.Leo asubuhi nimepata ujumbe kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kama Fadhil Macha wenye maneno kama yaonekanayo pichani:
Ndani kuna linki nami kwa udadisi nikaifuata link na kunipelea kwenye login feki ya facebook kama ionekanavyo
Kwa taarifa tu hawa ni matapeli na nimepata sana ujumbe huu na pia hudai wao ni watoaji wa mikopo . angalia picha hii
Ndugu zangu kuweni makini sana na watu watumiao link hizi za bure mfano www.wapka.mobi/index.html
ninafikiri mmekutana nao mwengi wa design hii http://www.socialcompany.wapka.mobi/index.html
Hawa hawatofautiani sana na wale wengine watumao meseji kwenye akaunti za fb kutokanje ya nchi mfano wa picha hii
Tuweni makini
0 comments: