Jambazi anapoingia choo cha kike

16:14:00 Unknown 0 Comments

Jambazi sugu moja likiwa katika misele yake usiku wa manane lilisikia sauti za watu zikisema "hizi milioni 500 tuweke kwa Juma au Rebeca? me naona tukae nazo kwanza then tutazitumia "Jambazi lilishtuka likatoa bastola na kubomoa ile nyumba paaa.
Maskini kufika ndani likakuta wanafunzi wapo wanasoma BOOK KEEPING kesho wana mtihani.

You Might Also Like

0 comments: