Tahadhari kwa wale mabingwa wa kufall in love Facebook,

05:38:00 Unknown 0 Comments

Tahadhari kwa wale mabingwa wa kufall in love Facebook, wakiona Profile Picture tu wanashoboka wanaanza kuinbox.

Kuna Wanawake humu wanatumia picha za wenzao, anachagua rafiki yake mzuriiii anamuweka Profile Picture. ukifungua Album zake unakuta ana picha 4, Ya rafiki yake kaweka profile picture, ya pili ya Rihanna, ya 3 picha ya maua, ya 4 kaweka picha ya pete...

We unazama inbox,unatoa ahadi kedekede, siku ya kukutana sasaa.. Unakuta mtu anafanana na Supu ya mkia wa kenge...

Utafall vipi in love na Picha??
Mtu humjui, Ooh U're so good, Can we meet, I wanna marry you.. unataka kuoa picha?? Basi nenda kafunge ndoa na Photopoint......

You Might Also Like

0 comments: