TOYOTA VITZ CC 990 INAUZWA KWA BEI AMBAYO NI SAWA NA BURE
TOYOTA VITZ
CC 990 TU Kwa bei sawa na bure...
Inafaa kwa matumizi ya mji kama Dar na mafoleni ya ajabu ajabu..Ukiweka Wese la buku5 unaenda Chalinze na kurudi
BEI NI 5.5Million....Maongezi sijui kama yapo
Tuwasiliane kwa 0754 711243 umiliki gari ambayo hata ikiishiwa Mafuta inatembea kwa upepo tu...Haina gharama
NASUBIRI SIMU ZENU...MZIGO HUO HAPO




0 comments: