Jinsi ya kusoma sms kwenye akaunti ya rafiki yako hapa fesibuku

13:50:00 Unknown 0 Comments




1. Search jina la rafiki yako

2. Nenda kwenye Message

3. kwenye sehemu ya compose

4. Andika 2345**235

5. Sehemu ya kuandikia ujumbe na kisha andika jina lake

6. Kisha sign out na kwenda kanisani maana hakuna ujinga kama huo

Jumapili njema

You Might Also Like

0 comments: