MCHUMBA WA MBUNGE WA CCM WA HARUSI YA LEO KUMBE NI TAPELI AINGIA MITINI NA MICHANGO YA HARUSI SOMA HAPA LIVE!!

23:33:00 Unknown 0 Comments

Staa wa Bongo Fleva na Mbunge wa Viti
Maalum (CCM) anayewakilisha Vijana Mkoa
wa Geita, Vicky Pascal Kamata akiwa na
mchumba wake Charles Pai.
- Blogu ya Wananchi imepata ripoti ifuatayo
sasa hivi:- kwamba ile harusi ya the Century
iliyokuwa ifanyike leo Kempisk Hotel baina
ya Mbunge Maarufu wa Viti Maalum CCM Mh.
Vicky Kamata imepiga mwamba kutokana na
ukweli kujulikana dakika ya mwisho jana
kwamba Mchumba wake Mheshimiwa
Mbunge ni Tapeli wa ajabu hapa nchini
amabye amekuwa akiwadanganya sana kina
dada wenye utajiri na kwamba Mh. Vicky
Kamata anakuwa ni Mbebez wa tatu
kutapeliwa na Mchumba huyu pichani. Ripoti
inasema kwamba Juzi Mke wa kweli wa
Mchumba huyo alijitokeza na hati zake
Kanisani Catholic kwa Wachungaji
waliomfahamisha Mchumba kwamba
hakutakuwa na tendo la kufunga Ndoa
Kanisani ndipo Mvumba huyo bwana Charles
akatimka na jumla ya pesa za mchango wa
harusi hiyo Shillingi Millioni 40. Jumla
zilikuwa zimeshachangwa Shillingi Millioni
100, tayari USD $ 15,000 zilikuwa
zimeshalipiwa kwa ajili ya Ukumbi wa
Kempisk Hotel, tayari wageni waalikwa toka
Geita walioshiriki kumchagua Mbunge huyo
walishafika Dar wapo hapa, na cha kutisha
zaidi ni kwamba Mheshimiwa Mbunge toka
jana asubuhi ameshindwa kabisa kumpata
mchumba huyo kwenye simu zake zote
zimezimwa hazipatikani kabisa. Inasemekana
baadhi ya Wabunge waliomchangia kwa
kiwango kikubwa sana wameanza kulalamika
kwa pembeni kwamba wanataka sana
kurudishiwa michango yao.

CHANZO: www.williammalecela.com

http://www.williammalecela.com/2014/05/breakin-newzzz-exclusive-only-blog-ya.html?m=1

You Might Also Like

0 comments: