Usipoteze Muda wako kuwa na watu ambao hawana Muda na wewe.

17:29:00 Unknown 0 Comments



yaani kila siku uwafuate wewe, kila
siku uwapigie simu
wewe, kila siku uanze wewe
kuwasalimia, kila siku wewe ndo
wakuanzisha stori....!!

Kama kweli wanakupenda na
kukuhitaji na kukujali kama
wanavyosema watakutafuta, si
wanajua unapatikana wapi, hakuna
haja ya kujipendekeza, na wewe ni
wa muhimu vile vile....!

You Might Also Like

0 comments: