Wengi wanavyoamini
1. Mvua ikinyesha wakati jua linawaka……….simba anazaa
2. Ukinywa maji ya nazi……utapata busha
3. Mtu akikuruka…..utakuwa mfupi
4. Usiokote chakula kilichodondoka…..shetani amekila
5. Mtu akikuuma, paka mavi ya kuku
6. Ukifagia usiku…unafagia bahati
7. Uking’oa jino tupia juu ya bati…kunguru
8. Ukimpiga mbayuwayu na manati chanjia
9. Ukivaa kiatu kimoja…titi la mamako litavimba
10. Mtu akisimama nyuma yako wakati umekaa anakunyonya damu
11. kiganja kikiwasha utapata pesa ongeza nawe
0 comments: