Fuledi sasa achanganyikiwa, awashangaza watu katikati ya maombi leo kanisani

16:34:00 Unknown 0 Comments

Fuledi alipimwa UKIMWI ijumaa na kuambiwa majibu aende kuyachukua kesho jumatatu kwani siku hiyo kulikuwa na hitilafu pale hospital.

Leo jumapili akiwa kanisani mchungaji akasema " Ndugu zangu sasa ninaenda kuwaombea, na kila ulichomuomba Mungu au kukifanya wiki hii.Basi Mungu atakupa majibu POSITIVE wiki kesho"

Mchungaji alipoanza kusali... Fuledi akawa kwa sauti anasema mchungaji shindwa majibu yangu yatakuwa NEGATIVE

Kweli ngoma balaa

You Might Also Like

0 comments: