Habari ya motooooooooooooo!!! Kijana mwingine ashindwa kujizuia aandika "mama nakupenda" baada ya kupokea ujumbe huu

20:33:00 Unknown 0 Comments



1.Mama yako alikubeba tumboni mwake kwa miezi 9 akiyavumilia maumivu na mambo mengi na hatimaye ukazaliwa.

2. Katika kipindi hicho hakula vizuri na hata kulala kwa furaha kisa wewe!

3. Ukiwa mdogo alitumia kila muda wa maisha yake akijitolea kukutunza wewe.!

4. Hakula chakula mpaka ule na hakulala mpaka ahakikishe umelala!

5. Alikuvumilia na kukupenda hata kama ulilia usiku kucha na na mchana na kumfanya akubembeleze !

6. Alikifundisha wewe jinsi ya kuongea, kutembea, jinsi ya kula na hata jinsi ya kuishi!

7. Ulipokuwa mgonjwa alikuhudumia mpaka ukapona!

8. Alikupikia na kuhakikisha unakula na kukifurahia chakula hata kama hakuwa na akiba ya kutosha !

9. Alikununulia na kukupa chochote ulicholilia!

10. Alikupenda na kujitolea kwa kila hali kwa mapenzi ya dhati na sasa una elimu na maisha mazuri na bado anakupenda na kuwa nawe na hata ukipatwa na tatizo ni mtu wa kwanza kumkimbilia.

11. mama yako ali ....>>>>>>>>>>>> SOMA ZAIDI HAPA >>>>>>>>>>>>>

You Might Also Like

0 comments: