Maajabu ya Mbeya...... Achana na ile lift yetu
Hawa jamaa wa magari ya matangazo hukimbia kwa spidi huku wakitangaza matangazo yao.
Sasa sijui kama hawa jamaa wanafikiri watu tuna tuna wireless settings za kudaka hayo matangazo maana hata muda wa kusia hauupati duu.

0 comments: