Hivi simu huwa ina STACHI au STUCK

Jamaa katoka kaenda kwa fundi simu na na simu mbomvu na mazungumzo yaka yafuatavyo:
Jamaa: Fundi nimeleta simu yangu ina matatizo
Fundi: Matatizo gani?
Jamaa: Kila nikiiwasha ina STACHI
Fundi: Kama ina STUCK natengeneza ila kama ina STACHI iongezee vitamin A
0 comments: