Jamaa afumaniwa kweupeeeeee.... Ni asubuhi hiii.... kwa wambea tuu .....ruksa kusoma
Kuna hotel moja hapa mtaani kwetu ambapo muda huu jamaa kafumaniwa na mke wa mtu.
Mwenye mke akasema haya nimewasamehe kwa hiyo wife twende nyumbani.
"Jamaa aliyefumaniwa kasema kaka nitajuaje umenisamehe toka moyoni??
Naomba hata unipige kidogo nijue nimesamehewa."
Naona jamaa anahisi kuna rafu yaweza mkumba
0 comments: