Kama alamu ya simu ya mchina itashindwa kukuamsha basi ujue umekufa

1. Hata kama kampuni ya GUCCI ikapunguza bei za viatu vyake kwa kiwango kikubwa lakini hawataweza kuuza kama iuzwavyo Azam mango na mikate mitaani
2.Kama enzi za utotoni hujawahi kuiba kipande cha nyama jiko basi mama yako hakuwahi kupika alikuwa sio mpishi mzuri
3. Hata kama wanasema dunia ni kijiji haimaanishi kuwa utaweza kutembea kwa miguu kutoka Afrika ya kusini mpaka Misri.
4. Kama alamu ya simu ya mchina itashindwa kukuamsha basi ujue umekufa
5. Pamoja na matatizo yote yote yakusumbuayo mwaka huu utakuwa wa mafanikio katika mipango yako
6. Mwana huu hakuna mtu atakayekuambia na "NISAMEHE" zaidi ya kuambiwa HONGERA
.
7. Kwa kila mkono utakao comment ''AMEN'' utashudia mvua ya mafanikio kabla ya mwaka huu kwisha
0 comments: