Kuna wakati natamani HOLYWOOD ingekuwa kituo cha pili baada ya kutoka uyole hapa mbeya
Kuna wakati natamani HOLYWOOD ingekuwa kituo cha pili baada ya kutoka uyole hapa mbeya na ikawa rahisi kwa mimi kuonana na hao wadirectors wa makampuni ya sanaa ya huko.
Holywood wana weza kuitumia idea ndogo kuwakuza wasanii na kuwa watu wakubwa na wenye mafanikio.
Tanzania tuna watu wakubwa wanaoweza kuiiba idea ya msanii mdogo na kumfanya aendelee kuwa mtu mdogo asiye na mafanikio.
Wanayafanya haya mchana kweupe kabisa. Na wengine wanaibukia wakiitwa team copy and paste bila kumonyesha mhusika wa kazi hiyo.
kitaeleweka one day........ Katika jina la Mungu nina omba Amen
Amen

0 comments: