KWANINI WANAWAKE WANAPENDA WANAUME WENYE MAGARI?

13:38:00 Unknown 0 Comments

Wanawake kiasili wanavutiwa na watu wenye hadhi ya aina flani mbele ya jamii. Ni kitu gani kinapima hadhi ya mtu inategemea na wakati na mazingira. 

Zamani mtu mwenye mashamba mengi na chakula cha kutosha ndio ilikuwa kipimo cha
hadhi ya mtu. Ukiwa huna hivi vitu utakosa au utapata wanawake wa ajabu ajabu
wasiotakwa na wenye uwezo.

Na mazingira yana matter, kwa waliosoma shule mtakuwa mnakumbuka wanamichezo
mahiri mashuleni walivyokuwa wanang'ang'aniwa na mabinti.

Kwenye mazingira ya shule, ukiwa good on the field inakupa hadhi flani ambayo wengine hawana.

The same applies to modern life and cars. Kwa kiasi gari limekuwa kipimo cha hadhi ya
mtu kwenye maisha yetu.

Ukishakuwa na gari, jamii inakupandisha status yako, na wanawake wengi watakupenda
tu.

Kwa wanaopenda STK, hao sijui huwa wanafikiria nini!?

WE JE UNA MAONI GANI?N KWEL WANAWAKE WANAPENDA WANAUME WENYE MAGARI?

You Might Also Like

0 comments: