Mpenzi wangu kila tulipokuwa faragha alitega camera na sasa anataka kuziuza ...Naombeni ushauri

07:10:00 Unknown 0 Comments

hello Fuledi,
Naitwa Natasha nina miaka 29 na naishi kenya.
Huwa nasoma post zako na kufurahishwa na mafans wako wanavyojua kushauri mtu.
Naomba ushauri kwa mabeste wa page hii ili niweze jua kutokana na ile mawazo yao watayonipa.
Uje niko na mahusiano na mwenye pesa na kazi yake aliniambia mfanyabiasha tukawa wapenzi.
Hadi kufikia saa hii nakuja gundua
mpenzi wangu kumbe alikuwa
anacheza zile xxx video.
kila tulipo kuwa tunafanya alitega
kamera na kasema ndio utajiri wake unatokana na biashara hiyo.
Naomba kunishauri kwa ili -?♥J

You Might Also Like

0 comments: