NAOMBA NIZUNGUMZE NA WALE WALIOKWISHA KULA MATUNDA YA AINA MBALI MBALI KWA KUVUNJA AMRI YA SITA YA MWENYEZI MUNGU.

09:04:00 Unknown 0 Comments


Yawezekana umekaa muda Mrefu huolewi au kuoa na Mahusiano yako yana Mgogoro.
Ndugu yangu,

Mwanamke uliyezini nae kwa Mara ya Kwanza au Mwanaume uliyezini nae, Siku hiyo hiyo ndio ulifunga ndoa na kuunganishwa kuwa Mwili mmoja.

 Hivyo, Kama umezini na wanawake wengi Tofauti Tofauti au Wanaume wengi tofauti Fofauti, jua ya Kwamba, Umeshafunga ndoa nyingi sana hivyo, haujaachana nao kama unavyofikiri Kibinadamu.
Piga Magoti Omba, Mwambie Mungu avunje Ndoa zote hizo ulizofunga isivyo halali, na Mwombe Mungu akupe wa Haja ya Moyo wako.
Barikiwa sana Ndugu.

You Might Also Like

0 comments: