NINYAMAZE NISIMJIBU TEXT ZAKE AU NI POKEE SIMU ZAKE???
Naombeni ushauri,Mimi nina mpenzi tumekua katika Relationship sio kitambo sana.
Najaribu kumsoma Girlfriend wangu anajitahidi kuonyesha kua ana nipenda kila mara kunipigia japo hana kazi yeye ni mwanafunzi na anaishi Hostel.
Kuna kitabia ambacho kiukwel huwa sipendezewi nacho huwa ana ishi kwa Hostel una kuta Room moja wanaishi Mabinti 4, tabia ambayo nimekuwa namsihi aachane nayo alikua anapenda kwenda kufata chakula LATE time mida ya saa NNE au saa TANO za Usiku.
Nimemuonya akawa amebadilika.. sasa kale katabia kamejirudia siku ya Jana nilienda kumtembelea majira ya SAA TANO kasoro maana huwa na tabia ya kwenda Bila kumwambia ili kuchunguza Tabia yake na anayoniambia.. kiukwel sikumkuta
Nikavuta subira kwa dk 45.. Wala hakutokea,nilijaribu kumpigia simu yake mara mbili bila ya mfanikio haikupokelewa na nikarudi zangu kwangu nikajaribu kupiga simu tena haikupokelewa nkamtumia TEXT haikujibiwa..
Mpaka leo mida ya saa sita Mchana ndo ananipigia kama mara Sita sijapokea simu yake maana alichonifanyia jana sina amani na Nina Hasira..
Baada ya kuona sipokei simu akaniandikia msg ''my simu haikuwa na vocha hata ya ku beep sasa mbona hupokei simu mpenzi wangu?''
Mpaka sasa sijajibu TEXT zake wala kupokea simu zake.
USHAURI JE NIFANYEJE?
NINYAMAZE NISIMJIBU TEXT ZAKE AU NI POKEE SIMU ZAKE???
NIPO NJIA PANDA
0 comments: