Njia 8 za kujikosesha furaha:

10:36:00 Unknown 0 Comments


1. Kulalamika bila kutafuta ufumbuzi wa tatizo
au matatizo.
2. Kuyakimbia matatizo yako badala ya
kuyatatua.
3. Kujilinganisha na wengine.
4. Kuwaza na kua na wasiwasi na mambo
ambayo bado hayajatokea.
5. Kufanya vitu mfano kazi ambayo huipendi
kutoka moyoni.
6. Kukaa kwenye mahusiano ambayo hayana
tena faida kwako.
7. Kujaribu kubadili mitazamo ya wengine huku
ukijiona wewe ndo uko sahihi.
8. Kujaribu kumfurahisha kila mtu kwa matendo
yako.

You Might Also Like

0 comments: