SWALI: Je ni nani atalaumiwa kwa kusababisha mzee kuvunjika miguu?
Jamaa mmoja aishie somalia alikuwa akisafiri kwa basi kutoka kijijini kwenda mjini.Akawa anachati kupitia sms na rafiki yake, akiwa anaendelea kuchati akagundua mzee ayliyekaa jirani yake alikuwa akisoma sms yake kwa kujificha.
Jamaa akafuta sms na kuandika kwa rafiki yake kuwa " Ndugu lile bomu nililolibeba nahisi litalipuka muda wowote kutoka sasa maana naona limeanza kupata moto hivyo ndani ya dakika tatu zijazo litalipuka.
Sijui nini cha kufanya ila naomba nitumie nafasi hii kukuaga wewe na kuomba unisaidie kuwatunza wanangu na hakikisha fedha wanazitumia kwa uangalifu mkubwa.
kabla jamaa hajaituma sms yule mzee aliyekaa karibu na kuzichungulia zile sms akafungua dirisha na kujitupa nje na kuvunjika miguu yake.
SWALI: Je ni nani atalaumiwa kwa kusababisha mzee kuvunjika miguu?
Jibu zuri natoa zawadi
0 comments: