Swali kwa mabinti tuu
Wewe ni binti na uko kwenye usafiri wa public(dala dala) umesimama macho hayana pazia umetupia jicho kwenye simu ya dada aliye kaa unakutana na ujumbe huu font zake kubwa umeweza kuangalia kila kitu.. ''baby nakusubiri umefika wap??
Kuangalia kwa makini kabisa unagundua namba iliyotuma ule ujumbe ni ya mumeo kipenzi utafanyeje?
0 comments: