Wish u a Happy birth day Mpenzi wangu"

21:59:00 Unknown 0 Comments


"Darlin namshukuru sana Mungu kwa ajili yako, yaani this year tumetoka out karibu mara 30 hivi na zote umelipa bills, u bought for me nyc nguo, viatu, simu, hela ya saloon, mafuta ya gari langu,sijachangia hata shilingi moja yangu, what a man!

Namuomba Mungu akulinde na kukutunza kwa ajili yangu. Pia sweetheart si unajua kodi yangu inaisha mwezi huu...

Wish u a Happy birth day Mpenzi wangu"

You Might Also Like

0 comments: