Maajabu ya asali kwa afya ya binadamu
HUTIBU MATATIZO YA LEHEMU(CHOLESTEROL) KWA KUTUMIA MCHANGANYIKO WA ASALI NA MDALASINIKipimo cha LEHEMU(CHOLESTEROL) cha watu waliokua na afya nzuri(katika jaribio) kilishuka kwa wastani wa 10% katika muda pungufu ya masaa mawili baada ya kunywa glass moja ya maji ya uvuguvugu yenye vijiko viwili vikubwa vya ASALI iliyochanganywa na kijiko kidogo cha MDALASINI .
Kinywaji hiki kutwa mara tatu kilifanya kazi nzuri ya kushusha kiwango cha LEHEMU(CHOLESTEROL) mwilini.
Madhara yaletwayo na vyakula vyenye mafuta yanaweza kudhibitiwa kwa matumizi ya mara kwa mara ya mchananyiko huu pamoja na chakula chako. Hii imeripotiwa na mtafiti maarifu Dr. Alexander Andreyed na Eric Vogelmann.
Ugunduzi wak uliyakinishwa kwenye jarida mashuhuri la kitiba la Denmark July 1994. Vilevile uchunguzi mwingine ulibainisha kua matumizi ya kila siku ta asali safi hupunguza viwango vya LEHEMU(CHOLESTEROL).
0 comments: