Usiombe ukutwe na tumbo la kuhara maeneo nyeti
Usiombe ukutwe na tumbo la kuhara ukiwa bar na ukurupuke kwenda chooni baada ya haja ugundue hakuna maji na kuna mtu anagonga mlango naye aingie.
Jamaa yangu kakaa zaidi ya saa moja ashukuru whatspp
0 comments: