Usiku una mambo mengi sana,
wakati wewe unakosa usingizi ukimshukuru Mungu kwa siku ya leo huku ukiitafakari namna utakavyoianza siku ya kesho, kuna mtu anafikiri kesho atatumiaje fedha.
Wakati wewe haupati usingizi ukiwaza jinsi ya kupata kazi, wagonjwa unaowauguza, watoto na ndugu zako unao watunza kuna mtu leo anaacha kazi kwa hasira au hata kutumia fedha bila kuijali kesho kwa sababu anaona zile baraka ni za lazima kuwa nazo.
Wakati wewe unaumiza kichwa kupata watoto na familia kuna watu sasa sasa wanakataa mimba, watoto na kuzitelekeza familia zao.
Wakati wewe unafikiri kuongeza ubunifu katika kazi zako au ulikoajiriwa huku ukimshirikisha Mungu wako, kuna watu sasa wanafikiri kutumia nguvu za giza au hata njia haramu kuzipata mali zao.
Wakati wewe unafunga macho na kuwaombea watu maisha mema na yenye furaha wao na familia zao kuna watu wanakuombea upatwe na mahasibu mengi.
Jambo la msingi ni kuamini kuwa Mungu wetu ni mwema, kwani baada ya jua kali huleta mvua ambayo humnyeshea hata yule mwovu na adui wa maendeleo.
USIKATE TAMAA
Lakini kumbuka kila mtu huipokea mvua kwa kulingana na utashi na uelewa wake.
Nikutakie usiku mwema na wenye baraka na Mungu wetu akakupe siku ya kesho yenye mvua za baraka kwa familia yako, kazi zako na hata afya yako
Comment "AMEN" na kisha share kama waamini katika hili.
Karibu Mbeya shared a link.
Karibu Mbeya inakupa fursa ya kutangaza BURE huduma au bidhaa uliyonayo na kuwafikia watu wengi zaidi
http://karibumbeya.com/ads/fursa-kwa-wanahabari-tanzania/
http://karibumbeya.com/ads/kiwanja-kinatafutwa/
http://karibumbeya.com/ads/st-josephine-nursing-college/
http://karibumbeya.com/ads/j-c-wedding-solutions/
http://karibumbeya.com/ads/mbolea-ya-asili-isiyo-na-kemikali/
http://karibumbeya.com/ads/nguvu-za-kiume-zinamalizwa-na-vyakula-vya-sukari-nyingi/
http://karibumbeya.com/ads/bank-chargerpower-bank-zenye-ubora-wa-kipekee/

209 people reached
0 comments: