Watu Kama Hawa Kutoka Ni Ngumu Sana:

12:22:00 Unknown 0 Comments


Watu Ambao kila kukikucha kazi yao kulalamika tu. Nchi hii jua kali sana. Ndo Bongo yetu hii. Ishi kwenye friji basi.
Mwingine Mungu kambariki ana nyumba ya kuishi utasikia: Nipo tu bwana nina kakibanda najilaza na familia pale Mbezi, kuishi mnaishi nyie, sie tunasindikiza!
Kuwa na shukrani!!!!!!!!!!!!!!!!!




Karibu Mbeya shared a link.
Posted by Fred Kihwele · January 19

You Might Also Like

0 comments: