SMS iliyotaka kunifanya nipate kichaaa

Jamani huu mwezii mbona unaniandama hivi
Kuna meseji imeingia inasema "ondoka haraka hapo mme wangu anakuja"
NImetoka mbio mpaka nyumbani nafika tuu ikaingia sms nyingine " samahani nimekosea meseji hii sio yako"
Yaani akili imesizi muda huu na mwili hauna nguvu.... duuuh

0 comments: