HAWA NDIO BINADAMU WA SASA.

13:04:00 Unknown 0 Comments



1.wakikukwepa usijali jua kuna siku watakutafuta
2.wakikusengenya nyamaza huenda watajifunza kupitia ukimya wako.
3.wakikununia omba mungu jua kuna siku watakuchekea.
4.wakikupongeza usiwaamini sana wengi wao watakuzunguka.
5.wakikutenga achana nao jua wao sio kila kitu katika hii dunia.
6.wakikudhulumu shukuru mungu ipo siku atakulipa.
7.wakikualika kuwa makini huenda kuna kitu wanakutegea.
8.wasipokupenda usijisumbue kujipendekeza

JUA MUNGU NDIO RAFIKI WA KWELI KATIKA DUNIA NA SI BINADAMU.

You Might Also Like

0 comments: