Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa yazua utata
Baada ya uchaguzi wa serikali za mtaamgombea karudi kwake amenuna.
MKE; Vipi matokeo?
MUME: Nimeangushwa vibaya
MKE: Umepata kura ngapi?
MUME: Kura mbili
MKE: Mshenzi mkubwa kumbe una nyumba
ndogo hapa mtaani leo utamtaja

0 comments: