Sentesi 11 za uongo kutoka kwa wasichana

1 I love u baby
2 Nipo serious kuhusu wewe
3 Nipo single
4 Nitafanya chochote kwa ajiri yako
5 Nataka unione
6 Niamini
7 Naomba usiniache
8 Usipige nitakupigia baada ya mda kidogo
9 Subir nipo na baba
10 Nyumbani kulikuwa na wageni nikashindwa kutoka
11 Naapa we ndo wa pekee,
WIZI MTUPU!JE HUU NI UUNGWANA?

0 comments: