Vitu ambavyo natamani marafiki zangu wasivifanye humu fb au IG..
1. Picha za airport kila unaposafiri pamoja na picha za ndani ya ndege(hua naona kama kajiushamba flan)
2. Picha za kila chakula au kinywaji haswa vile ambavyo hujazoea
3.picha za kwenye magari ambayo sio yako,
4. Picha za kila bidhaa mpya unayonunua
5. Picha za from church(tunaelewa kama ww ni mkristu kwenda kanisani ni wajibu)
6. Selfie zako au picha zaidi ya kumi kwa siku moja na nguo moja(tunaelewa kama umeoendeza moja u mbili inatosha)
7. Picha za ofisini kila siku, bae tunajua kua unafanya kazi basi once in a while
8. Picha zenu na watu maarufu zenye caption kama mtu wangu wa nguvu, brother from anither mother, my buddy(wakat mmekutana club 71 siku hio tu) Unaeza ongeza vingine
...... NATANIA TU WATU WANGU WA NGUVU, WE JIPOSTIE TU MAANA TUTAJUAJE KAMA UR LIVING UR LIFE, NIMEAMUA KUA HATER LEO
CHA MSINGI MNUNUE KITABU CHA BOMA KUPITIA HAPA


0 comments: