Waungwana unaikumbuka ile Chupi aina ya Vipi nimeikuta leo nilipokuja kumuona bi mkubwa kanipa makashabrasha yangu yangu nimekumbuka chawa walikua rafiki zangu sana jamaa yangu mmoja amewahi kiukuta kifuaani baada ya pilika pilika
Embu Tujikumbushe enzi za chupi V.I.P wakati huooo Una..
V.I.P Ni aina ya chupi ambazo zilitawala sana kila mwanafunzi alikuwa Nayo bila kujali jinsia,
Maajabu ya V.I.P Kwa wale wana michezo watakumbuka zilikuwa Raisi sana kukatika pale ikweta,Then kama uko una piga boli,mpira wa makaratasi ghafla Unaikuta imepanda mpaka Mgongoni.
Mnaikumbuka VIp?
0 comments: