Naomba unieleze ni nani anaitwa Alarm anapigaa simu kila siku alfajiri tu na ww unaikata haraka ili nisiskie maongez yenu?
Mzee baada yakufika home after work kachoka akamkuta dada angu msukuma wa Kwimba kanuna
Baba: Una tatizo ganii mama?
Mwanakurwa: Mme wangu kwa kweli tokea upate hii ajira mpya nakosa amani, Nilikua nakupenda sana lakn nashindwa kuvumilia. Naomba unieleze ni nani anaitwa Alarm anapigaa simu kila siku alfajiri tu na ww unaikata haraka ili nisiskie maongez yenu?



0 comments: