" Yaani mpaka najiuliza ni kwa nini nilikubali kuolewa na mwanaume huyu....."
" Yaani mpaka najiuliza ni kwa nini nilikubali kuolewa na mwanaume huyu....."
Nimeisikia hii kwenye daladala kama saa moja lililopita kutoka kwa dada mmoja aliyekuwa akimsimulia kitu mwenzake. Kiukweli kama mwanaume nilishtuka kwani kuna kitu kikanijia akilini pia.
Kama kawaida yetu sisi wengine masikio yetu yanafanya kazi kwa bidii kuliko smartphone nikaona niutumie muda huo kuelekeza antena zangu nione mrembo huyo kwa nini kaamua atoe siri hiyo kwa shoga yake.
Kilichonijia akilini haraka ilikuwa labda mwanaume huyo atakuwa sio mwaminifu katika ndoa, au labda ana vitendo vya unyanyasaji. Lakini nilishtuka zaidi kuisikia sentensi yake ya pili.
" Imefikia hatua najiuliza ni kwa nini niliolewa na huyu na kumwacha yule wa awali, sisi hatuendelei na wengine wanafanikiwa kila kukicha, kwa kweli nimechoka"
Ooook, sasa nikapata jibu kuwa dada anaona alikosea mlango wa kuingilia na kujikuta yuko choo cha kiume kwa kuwa jamaa siku zinaenda na mafanikio hayaji..
Nikajiuliza kuwa hapo awali wakati wanaoana ni kwa nini alikubali kama alimwona jamaa yupo yupo, na au jamaa alikuwa na mshiko na sasa umeyeyuka.. si kutaka kujihoji sana kuhusu na yeye mchango wake katika kuijenga familia aitakayo.
Watu wengi wanajikuta wako kwenye mahusiano kutokana na msukumo wa mambo mengi, kuna wanaoamini kuolewa au kuoa kuna punguza makali ya maisha, kuna wanaofurahia kuvaa shela au kuvaa suti na kuna wanao oa au kuolewa kwa sababu wamegundua huyo mwenza ni mchakarikaji hivyo itamfanya afanikiwe nae haraka na kuna wale ambao wameona mwenza kashajitayarisha vya kutosha hivyo ngoja nae aingie ajumuike.
Sasa ajenda hizi huja kugonga mwamba pale matarajio yanapogeuka na kuona ndio sivyo. Hapa nakumbuka dada yangu mmoja aliamua aolewe na jamaa kwa jinsi jamaa alivyokuwa akimtoa out mara kwa mara na magari tofauti na nyumba aliyokuwa akikaa iko tamu balaa baada ya ndoa binti anakuja kugundua kuwa jamaa alikuwa analinda mali ya bro aliyeko nje masomoni na outing ilikuwa kwa udhamini wa hela aliyotumia kwa ajli ya matumizi.
Nafikiri cha msingi ni pale unapoamua kuolewa na mtu yoyote muamuwe kuwa team na kuhangaika huko na huku mkitafuta mkate wenu na kuhakikisha mnapanga na kutekeleza mipango huku mkiamini hata mtoto haongei anapozaliwa na kama ikitokea hivyo basi hata wazazi watatimua mbio na itakuwa habari
Pia kutoa siri ya maisha yako tena sehemu kama hii ya leo ya dada yetu sometimes inaonesha jinsi ambavyo mtu usivyo makini ........... one step at a time bwana
Nawaacha na wimbo huu
"Ironic"
An old man turned ninety-eight
He won the lottery and died the next day
It's a black fly in your Chardonnay
It's a death row pardon two minutes too late
And isn't it ironic... don't you think
He won the lottery and died the next day
It's a black fly in your Chardonnay
It's a death row pardon two minutes too late
And isn't it ironic... don't you think
It's like rain on your wedding day
It's a free ride when you've already paid
It's the good advice that you just didn't take
Who would've thought... it figures
It's a free ride when you've already paid
It's the good advice that you just didn't take
Who would've thought... it figures
Mr. Play It Safe was afraid to fly
He packed his suitcase and kissed his kids goodbye
He waited his whole damn life to take that flight
And as the plane crashed down he thought
"Well isn't this nice..."

Well life has a funny way of sneaking up on you
When you think everything's okay and everything's going right
And life has a funny way of helping you out when
You think everything's gone wrong and everything blows up
In your face
When you think everything's okay and everything's going right
And life has a funny way of helping you out when
You think everything's gone wrong and everything blows up
In your face
A traffic jam when you're already late
A no-smoking sign on your cigarette break
It's like ten thousand spoons when all you need is a knife
It's meeting the man of my dreams
And then meeting his beautiful wife
And isn't it ironic...don't you think
A little too ironic...and, yeah, I really do think...
A no-smoking sign on your cigarette break
It's like ten thousand spoons when all you need is a knife
It's meeting the man of my dreams
And then meeting his beautiful wife
And isn't it ironic...don't you think
A little too ironic...and, yeah, I really do think...
It's like rain on your wedding day
It's a free ride when you've already paid
It's the good advice that you just didn't take
Who would've thought... it figures
It's a free ride when you've already paid
It's the good advice that you just didn't take
Who would've thought... it figures
Life has a funny way of sneaking up on you
Life has a funny, funny way of helping you out
Helping you out
Life has a funny, funny way of helping you out
Helping you out

0 comments: