08:57:00 Unknown 0 Comments

Punguza manyama uzembe

MACHINE YA KUFUKUZA MBU

Picha unayoiona baada ya maelezo haya, ni mashine ambayo imetengenezwa kitaalam kwa teknolojia ya kisasa ambayo kazi yake kubwa ni kufukuza mbu ndani ya chumba au ukumbini au ofisini au sehemu yoyote ya ndani ambapo utaiweka mashine hii.
Mashine hii utakapoinunua utapata na chupa ambayo ndani yake kuna mafuta (liquid) ambayo yametengenezwa kwa mchanganyiko wa mimea mbalimbali, ikisikika zaidi harufu ya mchaichai

Mashine hii inatumia umeme wa kawaida wa ndani ya nyumba, utakapoiwasha mafuta hayo hutoa harufu ya mchanganyiko wa mimea hiyo ambayo mbu hawaipendi na kuwafanya kuimbia. Kwa kuwa haina kemikali, hivyo basi haina nguvu ya kuweza kuwaua, vilevile haina madhara kwa mwanadamu.

Matumizi yakiwa mazuri (hakikisha unafunika chupa kipindi ambacho dawa hii haitumiki), mafuta hayo yana uwezo wa kukaa siku 30 hadi 45. Na pindi mafuta yatakapokwisha, utaweza kuyapata mafuta hayo.

Kwa yeyote ambaye ananunua mashine hii kwa mara ya kwanza atalipia Tsh 25,000 (atapata mashine pamoja na mafuta yake)
Mafuta yatakapokwisha utanunua kwa Tsh 10,000. Kwa wale wanaohitaji mafuta, mafuta tunayo

Tunapatikana maeneo ya Mwenge karibu na huduma zifuatazo:
1. Ofisi ya TRA, au karibu na
2. Afya Dispensary, au karibu na
3. Mjasiriamali kwanza, au karibu na
4. Kanisa la Sabato au karibu na
5. Kanisa la Lutherani au karibu na
6. Uwanja wa mpira wa Mwenge.

Anayehitaji ufafanuzi zaidi tuwasiliane kwa namba: 0715 594 564 au 0756 594 564

Au kama una nafasi tembelea www.1000ufahamu.com
Au tuandikie info@1000ufahamu.com



You Might Also Like

0 comments: