"Atakayeokota mawe atajuta na asiyeokota pia atajuta!"

09:20:00 Unknown 0 Comments



Kulikuwa na kundi la watu likisafiri Wakapita kwenye ardhi ya mawe! Ghafla wakasikia sauti ikisema: "Atakayeokota mawe atajuta na asiyeokota pia atajuta!" 

Wote wakahamaki kwa sauti ile, wengine wakaokota, wengine wakaacha! Walipomaliza safari wakakuta mawe yote yamegeuka ALMASI! Wote wakajuta! Waliookota wakajuta wameokota kidogo na walioacha walijuta zaidi! 

Huu ni mfano tu itakavyokuwa siku ya mwisho, kama ulitenda mema kidogo utajuta na kuona kwanini uliacha kutenda yote. Tujiangalie ndugu zangu kwani mambo yanatisha, kuwa mwepesi wa kusamehe na kutenda yaliyo mema kwa kila akutazamae.

asubuhi njema kwenu

You Might Also Like

0 comments: