: Dah binti we wamoto sana
DOKTA: Dah binti we wamoto sanaMDADA: Ndio wanaume wote wananiambiaga hivyohivyo teh teh teh
DOKTA: Nina maana una joto jingi nadhani una malaria hayo mengine hayanihusu pambafu
18:01:00 Unknown 0 Comments
Nakushukuru kwa kunipa nafasi hii adimu sana ya kufurahi, kuelimika na kubadilishana mawazo. Nitafurahi sana kama utaniachia comment hapo chini ili nijue kama habari,ucheshi, simulizi na vioja vioja hivi vimekupa siku yako kuwa BOMBA. Kumbuka nawe waweza share nami chochote ulichonacho kwa kunicheki kupitia whatsapp kwa namba 0713317171 au kupitia comment. Asante.
0 comments: