Je nani mjanja kati yao?

00:00:00 Unknown 0 Comments



Mtanzania na Mkenya waliingia
supermarket, walipotoka Mkenya akawa
anajigamba kwamba Wakenya ni
wajanja kuliko wa Tz huku
akimwonyesha Mtz chokolet tatu
alizoiba supermarket, Mtz
akamshawishi warudi tena ili na yy
akamwonyeshe ustadi wake
walipofika ndani Mtz akamwambia
mhudumu nataka nikuoneshe
mazingaombweheb­u niletee
chokolet tatu, yule mhudumu
akaleta tatu jamaa akazila zote
mbele ya mhudumu halafu akasema
unaona nimekula chokolet tatu
lakini amini usiamini chokolet zako
zote zipo mfukoni kwa huyu jamaa,
mhudumu akamkagua Mkenya
mfukoni akachukua choklet zake
zote 3, 


You Might Also Like

0 comments: